Nenda kwa yaliyomo

aphasia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

nomino

[hariri]

(halihesabiki)

  • Matamshi*: /əˈfeɪ.ʒə/, /əˈfeɪ.zi.ə/
  1. (tiba) hali ya kiafya inayosababisha kupotea kwa uwezo wa kuzungumza, kuelewa maneno, kusoma au kuandika kutokana na kujeruhiwa au kuathirika kwa ubongo.

Tafsiri

[hariri]