amphibian
Mandhari
Kiingereza
[hariri]nomino
[hariri](wingi; amphibians)
- Matamshi*: /æmˈfɪb.i.ən/
- (wanyama) kiumbe kinachoishi sehemu ya maisha yake majini na sehemu nyingine nchi kavu, mfano: chura, salamanda.
- gari au ndege linaloweza kufanya kazi ardhini na majini.
tafsiri
[hariri]- Kiswahili:amfibia; mnyama wa majini na nchi kavu