Nenda kwa yaliyomo

amide

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Nomino

[hariri]
  1. kiwanja cha kikemia kinachoundwa kwa kubadilisha kikundi cha -OH katika asidi ya kaboksili kwa -NH2 au kikundi cha amini

Tafsiri

[hariri]
  • Kiswahili:amidi
  • Kifaransa:amide


Ingizo hili ni fupi linahitaji mtu wa kuliboresha. Unaweza kuisadia Wikamusi kwa kuongezea maarifa zaidi.