ambari

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

ambari

  1. kitu kama vile nta ngumu, kinachonukia, chenye, rangi ya hudhurungi, kinachotokana na nyangumi baharini; huliwa ili kunenepesha na kuongeza nguvu