Nenda kwa yaliyomo

aisee!

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

kiingizi

[hariri]

aisee! neno la kumfanya mtu asikilize habari unayotaka kumwambia

visawe

[hariri]
  • ohaa!
  • abaa!