ahamaru

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kivumishi[hariri]

  1. mauaji yanayosababisha damu nyingi kutoka, hasa kifo kinachosababishwa na kuchomwa kwa upanga
  2. kifo kibaya cha kutisha kinachomtokea mtu kwa ghafla

Visawe[hariri]

  • ahamari