Nenda kwa yaliyomo

aggrieved

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Kivumishi

[hariri]
  1. mtu au mhusika aliyeathirika kwa dhuluma, madhara, au hasara
  2. aliyejaa malalamiko au huzuni kwa sababu ya kutendewa vibaya

Tafsiri

[hariri]


Ingizo hili ni fupi linahitaji mtu wa kuliboresha. Unaweza kuisadia Wikamusi kwa kuongezea maarifa zaidi.