afya ya akili
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]afya ya akili (wingi afya ya akili)
- Wanawake wanapaswa kupewa msaada wa afya ya akili.
Matumizi katika lugha
[hariri]- "Hutumika katika afya na jamii."
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza: mental health