Nenda kwa yaliyomo

advansi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

nomino(I-ZI)

[hariri]

advansi malipo yanayotolewa kabla ya wakati wake kuwadia au kazi kumalizika

Visawe

[hariri]
  • rubuni
  • arbuni
  • kishanzu
  • chambele