abet
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Kitenzi
[hariri]- kusaidia au kuruhusu mtu kufanya jambo baya
- kuchochea au kuunga mkono kitendo cha uhalifu au dhambi
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: kusaidia kufanya baya, kuchochea, kuunga mkono kitendo cha uhalifu
- Kifaransa: encourager, aider, favoriser