Mtumiaji:Robert Ullmann/Mwananchi/2009-02-12

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Mwananchi, Dar es Salaam, http://www.mwananchi.co.tz


agizo
Mkuu huyo wa Wilaya anasisitiza kuwa atakayekaidi agizo hilo la serikali, hatua kali za kisheria zitachukuikliwa dhidi yake. [1]
ajira
Changamoto kubwa inayoikabili serikali mpya ya Zimbabwe ni kuutokomeza ugonjwa wa kipindupindu, kuinua uchumi ulioporomoka vibaya na tatizo la ajira linalofikia asilimia 90 ya watu wasio na kazi. [2]
akioza
Samaki mmoja akioza, wote wameoza. [3]
al
Muammar Abu Minyar al Gaddafi, amekuwa kiongozi wa kidikteta tangu alipofanya mapinduzi ya kijeshi mwaka 1969. Ingawa Gaddafi hakushika ofisi au cheo tangu mwaka 1979, ana heshima ya kuwa msimamizi wa Mapinduzi ya Kijamaa ya Waarabu wa Libya. [4]
alijikuta
Zombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) ambaye alikuwa mkuu wa upelelezi wa mkoa wa Dar es Salaam, alijikuta akimwaga machozi mara kadhaa wakati akijitetea mbele ya Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Salum Masatti kuhusu tuhuma hizo dhidi yake pamoja na askari wenzake tisa. [5]
ama
Kamati inatoa maoni kwamba, uwajibishwaji wa watumishi hao upewe kipaumbele,” alisema Marombwa na kupendekeza kuwa zitumike taratibu za kuwasimamisha, kupewa likizo maalumu ama kuhamishwa ili kuepuka kuingilia uchunguzi. [6]
amani
Wakati Mnyika akipinga sera hiyo na kuituhumu kuwa ndicho chanzo cha migogoro ya ardhi nchini, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, John Chiligati anaitetea akisema kuwa ni muhimu kwa amani na usalama wa nchi. [7]
ana
Na DPP ana mamlaka gani kuzungumza na wafungwa bila idhini ya mkuu wa gereza, kwani siku nyingine anaweza kuwatorosha wafungwa. [8]
anataka
Hakusikilizi, anataka umsikilize. [9]
as
Binamu yake Sayyid Hassan ar-Rida al Mahd as Sanussi akawa mfalme badala yake. [10]
au
Alisema kuwa ripoti ya uchunguzi huo ndiyo itakayoipa serikali dira ya hatua za kuchukua, kama vile kupelekwa mahakamani au hatua za kinidhamu. [11]
bado
Zombe: Ni makosa kwani hata tukiwa mahakamani bado tuko chini ya ulinzi. [12]
bali
Zombe: Zilikuwa kwa maslahi yangu, kwani zilihusu dhuluma ya DPP. Hapaswi kutumia nafasi yake kuonea bali kulinda haki. [13]
bara
MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika aliyemaliza muda wake, Rais Jakaya Kikwete pamoja na mambo mengine ya kuyashughulikia barani Afrika hususan yale ya migogoro lakini pia amemkabidhi Mwenyekiti mpya wa Umoja huo, kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi, kazi ya kuliunganisha bara la Afrika. [14]
bastola
Sh4 milioni na bastola. [15]
bila
Pia Zombe bila kuwataja, alidai kuna baadhi ya washtakiwa ambao hawakuandika barua hizo walimweleza kilichofanyika dhidi yake na kwamba, kulikuwa na mawasiliano baina ya baadhi ya washtakiwa na DPP kwa njia ya simu. [16]
bunge
Hata hivyo, Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa (CUF), alipinga maelezo ya spika nje ya bunge kwa maelezo kuwa ametangaza jambo ambalo Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, ambayo ilijadili hoja ya Dk. [17]
cha
Mbali na kumtuhumu DPP, Zombe pia alidai kuwa maelezo aliyoyatoa mshtakiwa wa 11 Koplo Rashid Lema kumhusisha na kesi hiyo ni kwa sababu ya kutokuwa na uhusiano mzuri baina yao na akadai kuwa Lema aliwahi kuvunja kantini ya Kituo cha Oysterbay na kuiba mamilioni ya pesa na alipofikishwa kwake (Zombe) aliagiza ashtakiwe kijeshi. [18]
dogo
Alisema kuwa tatizo hilo ni dogo na kwamba, hata kwa siku moja wanaweza kumaliza. [19]
es
MSHTAKIWA wa kwanza katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wanne wa madini na dereva teksi wa Manzese Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Abdallah Zombe ameieleza Mahakama Kuu kuwa kilichomfanya amwage machozi kizimbani jana, ni mchezo mchafu aliofanyiwa na Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP). [20]
for
KIONGOZI wa chama cha upinzani cha Movement for Democratic Change (MDC) nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai ameapishwa rasmi kuwa Waziri Mkuu na hivyo kuungana na Rais Robert Mugabe katika serikali ya umoja wa kitaifa. [21]
fukwe
Katika agizo hilo pia, Rais Kikwete aliwataka viongozi hao kuhakikisha kuwa fukwe za Bahari ya Hindi zinaimarishwa ili wakazi wake wazitumie kwa mapumziko na shughuli mbalimbali za kijamii kama ilivyokuwa awali. [22]
fulani
Wakili Msemwa alikuwa akijaribu kumzuia kwa ishara wakati fulani, lakini Zombe alionekana kumbishia kwa ishara na wakati fulani kulazimika kuomba ruhusa kwa jaji ili aendelee kutoa maelezo yake. [23]
hadi
Slaa, Spika alisema kamati imemshauri kuwa ni busara mchakato wa zabuni hiyo, kuendelea hadi mwisho ndipo iangaliwe uwezekano wa wazo la mbunge huyo wa Karatu kuzungumzwa. [24]
hakuna
Zombe: Hapana, hakuna mahali ilipoelekezwa kwangu. [25]
hana
Zombe: DPP hana mamlaka wala hakuna sheria kuwasiliana na wafungwa wakiwa gerezani. [26]
hao
Hata hivyo, alipoulizwa na wazee wa baraza kwamba, akiwa RCO alijua ni nani aliyetoa amri ya kuwashambualia marehemu hao waliodaiwa kuwa majambazi, alidai kuwa ni mshtakiwa wa pili SP Christopher Bageni. [27]
haraka
Rais akishaagiza jambo kinachofuatia ni utekelezaji wa haraka tu hakuna muda wa kujadiliana katika hilo. [28]
hasa
Zombe alikanusha ushahidi wote hasa kuwa aliwavamia baadhi ya ndugu wa marehemu Muhimbili na kuwatishia na kwamba hata maelezo yao yanatofautiana jambo ambalo alisema linaashiria ushahidi wao si kwa kweli. [29]
hasara
Watumiaji wa bandari hiyo wakiwemo wafanyabiashara wa ndani na nchi za nje zinazotumia bandari hiyo, wanadai kuwa kitengo hicho kinawatia hasara kutokana na mizigo yao kuchelewa kutolewa pamoja na kuongezewa gharama ambazo hawakustahili kulipa. [30]
hata
Mheshimiwa Jaji hata siku nilipokamatwa, waliponiona walishangilia sana wakisema, ‘Zombe huyo Zombe huyo’, kwa kuwa walikuwa wakijua kilichokuwa kinaendelea dhidi yangu. [31]
hatua
Katika hatua nyingine, Zombe jana alionekana kuwa kivutio kikubwa kwa wanafunzi mbalimbali wa shule za sekondari, ikiwemo Kisota ya Kigamboni ambao walifika mahakamani hapo kumuona na kisha kumshangilia wakati akiondoka kwenye basi la mahabusu. [32]
hatutaki
Sisi hatutaki, hatutaki lakini tutatupwa kama hao. [33]
hatutoki
Hapa hatutoki, huko hatutaki. [34]
hawa
Matage aliniambia kuwa hawa ofisa wa polisi (Bageni na Makelle) wanatoka kwenye tukio la uporaji wa pesa za Bidco ambako zimeokolewa Sh5,750,000, lakini Sh. [35]
hawana
Tsvangirai aliwahi kusema wiki iliyopita kuwa huu ni wakati wa kihistoria kwa kuwa, hawana chaguo jingine zaidi ya kuingia katika serikali hiyo ya pamoja, ikiwa ni hatua muhimu katika kurejesha hali ya kawaida nchini Zimbabwe. [36]
hayo
Hata hivyo, alipohojiwa na Wakili Kaishozi alikiri kuwa wakati washtakiwa hao wakiandika maelezo hayo alikuwa bado hajafungua kesi dhidi ya magazeti hayo. [37]
hii
Tarehe sita mwezi huo huo DPP anaandika barua ya kuniunganisha mimi katika kesi hii akidai amekamilisha ushahidi kwa kutegemea maelezo haya,” alidai Zombe. [38]
hili
Huduma hiyo ilisitishwa kutokana na kuibwa kwa mashine ya mionzi, lakini mkurugenzi wa Huduma na Tiba Khamza Maunda, aliliambia gazeti hili juzi kuwa, tayari maandalizi yamefanywa kupata mashine mpya wiki hii. [39]
huko
Pia, tumeangalia siku ya ndege inayoondoka na kama ikipata matatizo, basi tutashindwa kwenda huko, alisema Madega. [40]
humo
Watu zaidi ya 3,400 wamekwishakufa kutokana na maradhi ya kipindupindu nchini humo na kwa sasa serikali imesimamisha kutoa idadi za watu wanaoendelea kupoteza maisha na kutokana na uchumi kuzorota kupindukia, watu wanatumia fedha za kigeni pale inapobidi. [41]
huu
Mheshimiwa jaji jana nililia hapa mahakamani kwa sababu ya mchezo huu mchafu niliofanyiwa na DPP. Barua hizi ziliandikwa tarehe 3 mwezi wa 6 mchana na zikafika ofisini kwa DPP tarehe 5 saa 3 asubuhi. [42]
huyo
Aliieleza mahakama hiyo kuwa washtakiwa hao walikamatwa na simu hizo baada ya mkuu wa gereza kufanya upekuzi na kwamba, mkuu huyo wa gereza amezihifadhi ataziwasilisha mahakamani hapo siku ya kutoa ushahidi wake. [43]
huyu
Barua hii imeandikwa tofauti na nyingine zote sababu kwa sababu mshtakiwa huyu anakaa Segerea (mahabusu). [44]
idadi
Hoja nyingine iliyopanguliwa ni ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Hamad Rashid Mohamed (Wawi-CUF), aliyekuwa na pendekezo la kubadili katiba ili viwemo vifungu vya kumbana rais, kwa kuwa na ukomo wa idadi ya mawaziri kwenye serikali yake. [45]
ikawa
Na alipouruhusu umiliki binafsi wa makampuni madogo, Serikali ikawa ikimiliki makampuni makubwa. [46]
ikicheza
Nchi hiyo ambayo ilikuwa jana ikicheza na Zimbabwe mchezo wa kirafiki inashika nafasi ya 103 ikilinganishwa na nafasi ya 101 mwezi jana. [47]
iko
Katika hatua nyingine, Pinda alisema serikali ipo njia panda kutokana na mikataba mingi ambayo imeivunja na ambayo iko katika taratibu za kuvunjwa. [48]
ile
Tena nakumbuka gazeti la Mwananchi lilinionyesha nikiwa nimeshika hizo fedha na nikiwa nimeshika ile bastola. [49]
ili
Naona ni mtu aliwafundisha ili apate alichotaka na ndiyo maana niko hapa. [50]
ilikuwa
Khalifa alisema bado walikuwa wanaendelea kuijadili hoja hiyo na kwamba ilikuwa haijafikia. [51]
ilitolewa
Kwa mujibu wa orodha hiyo, timu 1o bora hazikuathirika na orodha hiyo ambayo ilitolewa jana na Fifa. [52]
imeeleza
Kwa sasa, ECA imeeleza kuwa itaendelea kushirikiana na mashirikisho ya soka Ulaya na Fifa kuhusu suala la ongezeko la bei na namna ya kuimarisha hali ya fedha kwa klabu mbalimbali. [53]
imeporomoka
TANZANIA inakwenda fainali za Afrika za wachezaji wa ndani, CHAN ikiwa imeporomoka nafasi mbili katika kiwango cha Shirikisho la Soka la Kimataifa, Fifa. [54]
ina
Baada ya kumaliza kufunga itabidi tufanye uhakiki wa kama ina uwezo wa kutoa huduma hiyo ipasavyo kutokana na kuwa ilikuwa haitumiki kwa muda wa kama wiki mbili hivi" alisema Maunda. [55]
iweje
Kama samaki mmoja aliyeoza anaozesha tenga zima, iweje kama karibu samaki wote wameoza? Yupo samaki mwingine atakayepona kweli? Ataozeshwa na yeye. [56]
juu
Akielezea juu ya kuizuia hoja ya Dk. [57]
kabisa
Nimezaliwa Sumbawanga miaka 20 iliyopita, wazazi wangu walizaliwa Shinyanga na huko hata sikujui kabisa, sasa hata nikienda nitakuwa mgeni wa nani?" anaongeza. [58]
kadi
Maunda alisema kuwa mafundi kutoka Canada na Tunisia wataanza kazi ya kulinganisha kadi kama inaendana na zile za mashine na kuzifunga. [59]
kali
Nyimbo nyingine kali zitakazoimbwa na mwanamuziki huyu ni pamoja na Virunga, Ahmed Sabit, Vunja Mifupa, Sungura, Vidonge, Dunia Tunapita na Nyama Choma. [60]
kasi
Kwa mujibu wa IMF ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika ulifikia asilimia 8 hadi mwaka jana, lakini hali inaonyesha kuwa kasi hiyo ya ukuaji itapungua kwa mwaka huu kutokana na matatizo mbalimbali, yakiwemo ya mgogoro wa kifedha ulioikumba dunia kwa sasa, ukiwa umeanzia kwenye mataifa tajiri duniani. [61]
kata
Mzee huyo ambaye hata hivyo jina lake halikuweza kufahamika mara moja alisisitiza kwa kusema “umeshaambiwa kuwa Wizara ya Ardhi ilituambia turudi kata, kwa sababu ndio walioomba kubadilisha matumizi ya viwanja vinavyolalamikiwa, na wewe unatuambia wizara ndio iliyobadilisha matumizi ya viwanja hivyo, wewe tusomee taarifa ya Kamati ya Kandoro na uache kututisha. [62]
kati
Sehemu ya mahojino kati Wakili Mzikila na Zombe yalikuwa kama ifuatavyo. [63]
kauli
Alitaja baadhi ya mambo yanayopotoshwa kuwa ni kauli ya Manumba kuwa serikali haihusiki, vinasa sauti hivyo na kutokuwa na uwezo wa kusafirisha mawimbi ya sauti kwenda sehemu nyingine. [64]
kikuu
Asubuhi hiyo hiyo akawaita OCD wa wilaya zote lakini na askari wa chuo kikuu tu ambapo walizungumza hali ya uhalifu maana kwa kuwa wakati huo kulikuwa na ujambazi sana watu walikuwa wakiuawa bila sababu. [65]
kile
Labda tunahitaji kuipa muda na kuipima serikali hiyo kwa kile kitakachotekelezwa. [66]
kitengo
Miongoni mwa wasaidizi hao wa RCO aliwataja kuwa ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP), Charles Mkumbo ambaye aliyekuwa mkuu wa kitengo cha ujambazi na uhalifu mbalimbali Dar es Salaam. [67]
kocha
Kwa upande wao, mashabiki nao walisikika wakipiga kelele za kumtaka kocha, Marcio Maximo ampumzishe Tegete kutokana na kupooza kwa kiasi kikubwa katika mchezo huo. [68]
kote
Pia, ECA imeeleza kuwa itaiunga mkono Uefa kupiga marufuku usajili wa wachezaji, chini ya miaka 18 kote Ulaya licha ya kupingana na sheria za ajira za Umoja wa Ulaya. [69]
kuficha
Anadiriki kutoa aibu zako nje na kuficha za kwake. [70]
kuhama
Anasema serikali inataka kuwatia hasara na kuwafilisi kama ilivyokuwa kwa wenzao wa Kilombero ambao walilazimishwa kuhama bila kupewa vibali vya kuhamisha mifugo yao na kila aliyefika Chalinze alisindikizwa kwenda Pugu Dra es Salaam kwenye mnada na kulazimishwa kuwauza. [71]
kuhusu
Na kuhusu kuwajibika kwa tukio hilo kati ya askari waliofika alisema anaiachia mahakama ndiyo itakayoamua. [72]
kuitwa
Hata hivyo, Zombe aliieleza mahakama kuwa siku hiyo alikwenda kituoni hapo baada ya kuitwa na OCD wa Magomeni, SSP Matage kuwa kuna tatizo ambalo alikuwa akihitaji msaada wake. [73]
kuja
Hu Jintao anatarajiwa kuja Tanzania kwa mwaliko maalumu wa Rais Jakaya Kikwete katika ziara ambayo itampa historia ya kuwa rais wa kwanza wa nchi hiyo, kuja Tanzania. [74]
kukosa
Hata hivyo, kwa kiasi kikubwa cha kipindi cha kwanza, pia kile cha pili, mchezo huo ulionyesha kupooza kwa kukosa kasi ya kuridhisha. [75]
kukua
KUNA aina mbili za kukua kwa uchumi, macro economy na micro economy. [76]
kukuza
Madhumini makubwa ya makala haya ni kuonyesha jinsi gani viongozi wetu wanavyojitahidi kukuza uchumi wa macroeconomy tu kwa kuongeza pato la taifa bila ya jitihada za kuongeza ajira na pato la taifa ni viwanda hasa kwa nchi yetu Tanzania ambayo ina malighafi ya kutosha. [77]
kulala
Mwenyekiti wa Yanga, Iman Madega alisema jana kuwa kikosi hicho kinaondoka leo kwa ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) na kulala Nairobi, Kenya na kuondoka Ijumaa kuelekea Comoro. [78]
kundi
Mratibu wa bendi hiyo, Juma Mbizo alisema kwa sasa kundi hilo litaanza kujiendesha lenyewe kuanzia Machi Mosi na litakuwa na taratibu zilezile katika kuiufunza na kuiburudisha jamii. [79]
kunuka
Na watu katika kutafuta samaki asiyeoza walianza kunuka na wao. [80]
kuona
Baada ya kuona hali inazidi kuwa ngumu, Tsere alimtaka diwani wa kata hiyo, ajitete na baada ya mwakilishi huyo kunyanyuka, wananchi walimzomea zaidi huku wakimkataa. [81]
kuoza
Lakini alipofika kwenye tenga la tatu akaanza kutupa samaki mmoja baada ya mwingine, maana kila mmoja alionekana kuoza. [82]
kutafakari
Nikajaribu kutafakari. [83]
kutafuta
Bendi hiyo kwa sasa iko katika kutafuta wadhamini mbalimbali ili kufanikisha shughuli zao za bendi. [84]
kuunda
HATIMAYE hali ya kisiasa nchini Zimbabwe sasa inaleta matumaini, baada ya pande mbili zilizokuwa zinavutana kuhusu namna ya kuiongoza nchi hiyo kufikia muafaka wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa, ambayo utekelezaji wake unaanza rasmi leo baada ya Morgan Tsvangirai kuapishwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. [85]
kuwafanya
Lakini wakati huo elimu hiyo haikutanuliwa na kuwafanya wananchi kushindwa kutengeneza bidhaa zenye hadhi na wanazohitaji. [86]
kuzuia
Mimi binafsi kamwe sijawahi kukiamini chama cha Zanu-PF. Hofu yangu ni kuwa wataendelea kuizuia serikali hiyo kufanya kazi yake na hivyo kuzuia masuala muhimu kushughulikiwa kama ipasavyo. [87]
kwa
Akijibu maswali kutoka kwa waendesha mashtaka(PP) jana kuhusiana na ushahidi wake wa utetezi alioutoa mahakamani hapo juzi, Zombe aliiambia mahakama kuwa maelezo yaliyoandikwa na baadhi ya washtakiwa wakiwa mahabusu, ambayo yalitumia kama ushahidi wa kumuunganisha katika kesi hiyo, yaliandaliwa na DPP mwenyewe na kuwapa washtakiwa hao. [88]
kwako
Na wanakuja kwako wakiwa wanapeperusha hii bendera ya urafiki. [89]
la
Zombe alisema katika kanuni za Jeshi la Polisi unapaswa kutii amri ya rais tu na amri halali ya afisa wa jeshi hilo na kwamba, ikiwa tukio likitokea askari mdogo akalishuhudia na mkubwa wake akatoa taarifa yenye mashaka, basi anawajibka (askari huyo) kutoa taarifa kwa wakubwa wake. [90]
lengo
Akiongozwa na wakili wake, Jerome Memwa katika utetezi wake uliochukua saa 3:38, Zombe alikanusha ushahidi wote uliotolewa mahakamani hapo kuwa si wa kweli na kwamba ulipangwa tu kwa lengo la kummaliza kwa sababu ambazo hata hivyo hakuweza kuzieleza. [91]
leo
Alisema vifaa vya kutengenezea mashine hiyo vimeshafikishwa na kwamba, wanachokisubiri ni mafundi ambao wanatarajia kufika leo (jana). [92]
letu
Tatizo letu ni mafundi na wakishafika tu wanaanza kazi mara moja na tatizo lenyewe ni dogo la kulinganisha kadi na kuziweka katika mashine kama zitaendana na kuziweka"alisema Maunda. [93]
licha
Kufuatia kuapishwa kwake, Tsvangirai ana haki ya kutoa mapendekezo na wakati mwingine kumwakilisha Mugabe anayebakia kuwa rais, licha ya kushindwa uchaguzi uliofanywa mwezi wa Machi mwaka jana. [94]
liko
Sitta alisema suala hilo haliwezi kujadiliwa bungeni, kwa sababu liko mahakamani. [95]
lolote
Tuko tayari kwa lolote juu yao na tunawafanya kuwa ni wenzetu. [96]
maadui
Ukweli ni kwamba wapo pia katika kundi la marafiki, 'marafiki maadui' waliojivika ngozi ya urafiki. [97]
maalum
Usiku huu ni maalum kwangu. [98]
madai
WANANCHI wa Mtaa wa Kinyerezi wilayani Ilala, Dar es Salaam, jana walimzomea mkuu wa wilaya hiyo, kwa madai ya kutaka kukwepa kusoma taarifa ya Tume iliyokuwa imeiundwa na mkuu wa mkoa,kuchunguza uuzaji wa viwanja vya wazi katika eneo hilo. [99]
maeneo
MIGOGORO ya ardhi nchini ni changamoto kubwa inayoikabili serikali hasa katika kutafuta suluhu ya vita baina ya wafugaji na wakulima na hata baina yake na wananchi katika baadhi ya maeneo. [100]
mafunzo
Baada ya kuhitimu mwaka 1965, alipelekwa Uingereza kwa mafunzo zaidi katika chuo cha British Army Staff College. [101]
makazi
Agizo hilo lilikuwa likilenga kuwakumbusha viongozi wa jiji hilo kuwa wanapaswa kurejea katika misingi ya makazi bora kwa wakazi wa Dar es Salaam. [102]
makocha
MSHAMBULIAJI wa Togo anayeichezea Arsenal, Emmanuel Adebayor amechaguliwa kuwa mwanasoka bora wa Afrika mwaka 2008 huku kocha wa Taifa Stars, Marcio Maximo akiwa miongoni mwa makocha waliompigia kura ya ushindi. [103]
manispaa
Mara kwa mara mapigano baina ya wafugaji na wakulima yamekuwa yakitokea huku mashambulizi baina askari wa manispaa na wakulima au wafugaji yakirindima. [104]
manufaa
Maana yake ni kwamba, vikwazo vya uchumi kwa nchi hiyo viondolewe bila masharti yoyote kwa manufaa ya Wazimbawe wote. [105]
mapema
Lakini mapema kiongozi huyo alisema hata kama angeisoma, wananchi wasingeilewa na badala yake ingezidi kuwachanganya. [106]
matenga
Kandokando yake yalikuwepo matenga ya samaki na mchuuzi alikuwa anayakagua moja moja. [107]
mbadala
Aghalabu wamekuwa wakiachwa bila ya kuwapatia eneo mbadala. [108]
mbaya
Mtazamo wa msukosuko wa kifedha wa sasa umekuwa kwenye nchi zilizoendelea kiuchumi na zile zinazoibukia, lakini athari zake kwa nchi zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara zitakuwa mbaya. [109]
mbovu
KWA muda mrefu wateja wa Bandari ya Dar es Salaam, hasa Kitengo cha Makontena (Ticts) wamekuwa wakilalamikia huduma mbovu, ikiwamo ucheleweshaji wa mizigo yao, kutozwa gharama kubwa na mizigo yao kuibwa au kunyofolewa baadhi ya vifaa. [110]
mchuuzi
Kwanza nilimwona mchuuzi wa samaki akiwa amesimama mbele ya meza yake ya biashara. [111]
mdomo
Hawezi kufunga mdomo wake kuzungumza mambo yako. [112]
mema
Jinfeng, alisema kuwa kutokana na CBCT kuona umuhimu wa elimu nchini, umepanga kukutana baada ya kumalizika kwa ziara ya siku mbili ya Rais wao kupanga jinsi ya kuendeleza mipango mema aliyoianzisha, Rais Hu Jintao. [113]
mfumo
Rummenigge ambaye pia ni mwenyekiti wa klabu ya Bayern Munich aliwaambia waandishi wa habari kwamba badala ya kujielekeza katika suala hilo, ni bora kuangalia uamuzi wa Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) kuhusu mfumo wa leseni za usajili za wachezaji. [114]
mgumu
Kocha wa Zimbabwe, Sunday Marimo alieleza baada ya mchezo huo kuwa vijana wake walijitahidi kucheza vizuri na kueleza kuwa Stars wameonyesha kiwango cha kuridhisha, lakini mchezo ulikuwa mgumu. [115]
miezi
Atakayeshindwa atafungwa kwa kipindi kisichozidi miezi sita jela au vyote viwili. [116]
miji
Pamoja na kuwa diwani wa kata ya Buguruni Lufungilo pia ni mwenyekiti wa kamati ya mipango miji ya halmashauri ya manispaa ya Ilala na kikubwa kilichopelekea akagombea nafasi hiyo ni sakata la Tabata Dampo. [117]
mkataba
Pamoja na mkataba kati ya Shirika la Umma Tanzania (Tanesco) na Aggreko na Richmond ambao ulirithiwa na Dowans kuvunjwa, Pinda alisema kuwa wamefungua kesi mahakama za kimataifa pamoja na Mahakama Kuu ya Tanzania. [118]
mke
Siku hiyo nilikuwa nimekwenda kumchukua mke wangu Hospitali ya TMJ katikati ya jiji. [119]
mkoani
Pia alielezea kushangazwa kwake na kitendo cha wataalamu wa kuchunguza vinasa sauti hivyo, kuletwa mjini hapa kutoka Dar es Salaam , wakati Jeshi la Polisi mkoani Dodoma, lingeweza kufanya kazi hiyo. [120]
mnuko
Au hata akibaki hajaoza, bado atanuka kama wenzie maana amekaa kwenye tenga la mnuko mtupu. [121]
mpito
Kiongozi huyo wa upinzani kupitia MDC alisema awali kuwa, anatambua kitisho cha kumezwa na chama cha Zanu-PF kama mahasimu wa zamani wa Mugabe, bila ya kubadilisha mkondo unaofuatwa na taifa linalosambaratika, kwani Tsvangirai si kiongozi wa serikali mpya ya mpito. [122]
mwa
Katika hali hiyo Zombe alimtupia lawama Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kuwa ni miongoni mwa watu waliohusika katika kupanga ushahidi kwa lengo la kummaliza katika hali ya kutapatapa baada ya kuona kuwa hawana ushahidi wa kumhusisha na tukio hilo. [123]
mwaka
Wananchi hao walikusanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Kinyerezi kuanzia saa 8 mchana , wakimsubiri mkuu huyo, Patrick Tsere, awasomea taarifa ya tume iliyoundwa Julai mwaka jana. [124]
mzee
Baada ya kelele za takribani dakika moja, mzee mmoja wa makamo alinyanyuka na kumtaka mkuu wa wilaya aache kumtetea, diwani na badala yake,asome taarifa ya tume, ambayo ilimpeleka Kinyerezi. [125]
mzima
Kwa ujumla, vikundi 40 vya wasanii wa muziki na mafundi wao vitashiriki katika Sauti za Busara na hii ndio inafanya tamasha hili kuwa moja ya tukio kubwa na bora zaidi la muziki hapa Afrika Mashariki kwa mwezi wa Februari na pengine kwa mwaka mzima. [126]
mzito
Mjadala huu ni mzito sana. [127]
nalo
Ni wazi kuwa wengi wa wanachama wetu walipendelea mfumo wa kuwa na uwanja ulio sawa wa kuchezea unaosimamia utoaji wa leseni, nasi tumekubaliana nalo,î alieleza Rummenigge. [128]
nao
Pamoja na tukio hilo , Dk Slaa alisema ataendelea kuishi katika hoteli hiyo na wala hahitaji ulinzi wa polisi, kwa sababu hana imani nao kwa vile wanaweza kutumiwa kumdhuru. [129]
ndani
Dereva wangu aliyekuwa amebaki katika gari alikuja ndani akanitaarifu kuwa OCD Matage alikuwa akiniita," alidai Zombe. [130]
ndiye
Mwenyekiti wa Chama cha wafanyabiashara wa China nchini (CBCT), Zhu Jinfeng ndiye aliyetoa taarifa hizo jana alipokuwa akizungumza na gazeti hili. [131]
ndoo
Wakati niliona siwezi kuvumilia tena na imebaki kuoza na mimi, wakaja watu wenye ndoo za maji na kuanza kuwamwagia watu wote huku wakiimba. [132]
ndoto
Anasema Watanzania wanatamani siku moja waone mabadiliko ya kweli katika maisha yao, waondokane na hali ngumu ya maisha lakini bahati mbaya ndoto zao hizo inakuwa vigumu kutimizwa kwa sababu wapo baadhi ya viongozi wasio wawajibikaji badala yake wamekuwa wababaishaji na walaji wa mali ya umma kwa maslahi yao binafsi. [133]
ng
Anataja adhabu za watakaokaidi agizo hilo atatozwa faini ya Sh2,500 kwa kila ng’ombe na Sh500 kwa kila mbuzi, kondoo na nguruwe. [134]
nia
Alisema nia ya tamasha hilo ni kuunga mkono hatua ya serikali ya kukemea mauaji ya albino yanayoendelea nchini kote. [135]
nisaidie
Kama Mtukufu Jaji alivyosema, hii ni moja ya sababu ya kunibakisha mimi katika kesi hii ili nisaidie kutoa ushahidi. [136]
nyeti
Hatua hiyo imefikiwa baada ya mambo nyeti yaliyosababisha kukwama kwa utekelezaji wa makubaliano yaliyotiwa saini mwaka jana, baina ya viongozi hao na vyama vyao wanavyoviongoza; ZANU-PF cha Rais Mugabe na Movement for Democratic Change (MDC) cha Tsvangirai. [137]
nyumba
Suala la ubomoaji wa nyumba na kuharibu makazi ya wakazi wa eneo la Tababa Dampo lilinigusa sana na niliona kuna kila sababu ya mimi kugombea ili kusahihisha makosa," anasema Lufungilo. [138]
paa
Ndipo hapo nikastuka na kukuta huko nje mvua inyesha na paa yangu inavuja kwa nguvu zote hadi kweli nimeloa. [139]
pande
Kocha huyo alikuwa kivutio baada ya filimbi ya mwisho alipowaita wachezaji wa pande zote mbili na kuwapa mazoezi ya viungo. [140]
papo
Akijibu maswali ya papo kwa papo bungeni mjini Dodoma Febuari 5, mwaka huu Pinda alisema hakuna uharamia unaofanywa na serikali katika kuwahamisha wafugaji hao, bali ni kwa nia ya kunusuru mazingira. [141]
pato
Tunaomba vyombo vinavyohusika ikiwemo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na hali hiyo ili kuondoa malalamiko ya wateja hao, ambao huchangia kwenye pato la taifa. [142]
pekee
Licha ya hofu zao, Wazimbabwe wengi wanaeleza kuiona serikali hiyo ya mpito kuwa ni njia pekee ya kusonga mbele. [143]
picha
Awali, wakazi wa jiji hili walikuwa wakiitumia fukwe hiyo kwa ajili ya kupiga picha za kumbukumbu kama harusi na wengine kujipumzisha. [144]
rafiki
Gaddafi na rafiki zake waliokutana masomoni waliunda kundi lao ambalo lilikuwa na malengo ya kijeshi. [145]
saa
Zombe alidai kuwa barua hizo zote zilitolewa gerezani hapo kupitia kwenye nguo za mmoja wa washtakiwa na kumfikia DPP Juni 5 saa 3 asubuhi. [146]
sasa
Kwa sasa kazi hiyo inayoendelea ni vyombo vya dola kufanya uchunguzi zaidi, ili kuona kama kuna makosa yoyote ya jinai yaliyotendwa,” alisema Pinda. [147]
sekta
Habari zilizopatikana jana jijini Dar es Salaam zinasema kuwa, katika hotuba hiyo, rais huyo pichani, ataeleza mikakati ya serikali yake katika kusaidia sekta ya elimu nchini. [148]
sera
Mkurugenzi wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika anasema serikali ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi nchini kutokana na sera yake mbovu ya ardhi. [149]
shosti
Na ushauri wa kupewaaa shosti. [150]
si
Hata hivyo Wakili wa Serikali, Alexander Mzikila alidai kuwa nakala za barua alizozitoa mahakamani hapo zote si za kweli, kwa kuwa barua halisi alizo nazo ambazo pia alimuonyesha Zombe zimeandikwa tarehe tofauti na nakala za Zombe na kwamba, hata tarehe ya kufika kwa DPP ni tofauti na tarehe aliyoitaja Zombe. [151]
tabia
Katika hatua nyingine alilitaka jeshi la polisi kutangaza hadharani maneno yaliyorekodiwa kwenye kinasa sauti kilichokutwa chumbani kwake, kwa sababu anajiamini kuwa hana tabia ya kuzungumza maneno ya siri. [152]
takwimu
Wapinzani wake, Zimbabwe, DRC, Zambia ambao wanashiriki pia fainali hizo, wapo juu ya Tanzania kwa kiwango, wakiwa ndani ya 100 bora, kulingana na takwimu hizo. [153]
tangu
Pia tume hiyo ilipendekeza kuwa diwani hiyo, anayedaiwa kutofanya mkutano hata mmoja tangu achaguliwe, achukuliwe hatua za kidhamu na chama chake. [154]
tata
SERIKALI imesema kuna uwezekano wa kuwafikisha mahakamani Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hosea ikibainika kuwa walikosea wakati wa kupitisha zabuni tata ya umeme wa dharura iliyoipa ushindi kamapuni ya Richmond. [155]
tatu
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta jana alizima hoja tatu binafsi za wabunge wa upinzani bungeni, ikiwemo ya Mbunge wa Karatu, Dk. [156]
tena
Mfano kesi ya wafanyakazi wa Bima waliachiwa na mahakama, lakini DPP akaamua wafunguliwe mashtaka tena, lakini akamtoa mkwewe aliyekuwemo. [157]
tu
Zombe: Kuna kesi nyingi tu. [158]
ubora
Miongoni mwa mataifa ya Afrika Mashariki, Uganda ndiyo inashika nafasi ya 71 kwa ubora huku Kenya ikiwa katika nafasi ya 98 ya viwango hivyo vya ubora vya Fifa. [159]
ujumbe
Wakati huo huo, Rais wa Chama cha Soka cha Zambia, Kalusha Bwalya amejitoa juzi katika kinyang'anyiro cha kuwania ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambalo uchaguzi wake ulifanyika jana mjini Lagos, Nigeria. [160]
ukweli
Zombe alidai kiutaratibu barua hizo zilipaswa zipitie kwa Mkuu wa Gereza na kwamba ingawa zilionekana kuwa zimepitia kwa mkuu wa gereza, lakini ukweli ni kwamba zilikuwa zimepitia katika mlango wa panya. [161]
ulikuwa
Pinda alifahamisha kuwa, mkataba wake na Kampuni ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) pia ulikuwa kwenye mchakato wa kuvunjwa, lakini imeshindikana kutokana na wanahisa wake kufungua kesi mahakamani. [162]
umma
Willbrod Slaa (Chadema) amemjia juu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Robert Manumba, kwa maelezo kuwa amepotosha umma kuhusu vinasa sauti vilivyokutwa kwenye chumba chake na cha mwenzake, Dk Ali Tarab Ali (Konde-CUF) katika ya Fifty Six. [163]
una
Mheshimiwa mkuu wa wilaya, hapa kuna watu wananene, wembamba, wenyenvi, na wa kila aina, wewe kuwa mkuu wa wilaya, haimaanishi kuwa una akili kutushinda wote, kwa maana hiyo unavyozungumza unaeleweka na unavyo babaisha unaeleweka, kilichokuleta hapa nikutatua matatizo ya wananchi na si kumtetea diwani, acha kupendelea majasusi” alisema mzee huyo. [164]
uozo
Na hapo nikajikuta nimekaa chini huku harufu ya uozo ikiwa imeniletea kizunguzungu. [165]
upya
HOSPITALI inayotibu magonjwa ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam, itaanza upya kutoa huduma hiyo wiki ijayo baada ya kusitisha kwa muda. [166]
usiku
Mshambuliaji huyo alituzwa dola 20,000 katika sherehe za kufana zilizofanyika juzi usiku mjini hapa. [167]
uwanja
Rais huyo pia anatarajiwa kuhutubia umma wa Watanzania na wananchi wa China katika uwanja wa wazi wa Mnazi Mmoja na kuelezea jinsi serikali hizo mbili zinavyoshirikiana katika kuboresha sekta za elimu, afya na michezo. [168]
vibao
Msanii mkongwe Kutoka DRC, Samba Mapangala akiambatana na bendi yake ya Orchestre Virunga anatarajiwa kutoa burudani ya aina yake kutokana na vibao vyake kutamba Afrika Mashariki, Magharibi na Ulaya. [169]
vibaya
Kauli ya mzee huyo iliyoandamana na vigelegele kutoka kwa wananchi, ilimfanya mkuu wa wilaya kuwaeleza kuwa ameeleweka vibaya. [170]
vinara
Ujerumani wanafuata, Uholanzi, Italia, Brazil na Argentina zinakamilisha vinara watano. [171]
vita
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kupiga vita mauaji ya walemavu wa ngozi (albino) lililoandaliwa na Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam. [172]
vya
Wilbrod Slaa (Chadema) kuhusu tuhuma dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, kuingilia mchakato wa zabuni ya uchapishaji wa vitambulisho vya taifa. [173]
vyake
Alisema binafsi analiamini Jeshi la Polisi, lakini amekuwa akisononeshwa na vitendo vyake ambavyo haviashirii uaminifu hivyo kumtaka Rais Jakaya Kikwete, kumchukulia hatua. [174]
vyao
Naona maneno hayo yalitokana na vikao vyao walivyofanya na kukubaliana hivyo na kamwe si wazo la kamati,” alisema Khalifa. [175]
vyote
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tume hiyo tume ilibaini kuwa viwanja vyote vilibadilishwa matumizi kwa ajili ya maslahi ya diwani wa kati hiyo na kupendekeza kuwa virudishwe kwa matumizi yake ya awali. [176]
wale
Migogoro mingi ya ardhi nchini husababishwa na serikali baada ya kuamua kubadili matumizi bila ya kuzingatia mustakabali wa wale walioishi humo kwa muda mrefu. [177]
waliooza
Ilionekana wazi kwamba waliooza zaidi ni wale wa juu, kisha wale wa juu walikuwa wameambukiza wale wa chini uozo wao. [178]
wana
Hatua ya kupanda kizimbani jana na kuanza kujitetea ilikuja baada ya mahakama hiyo kuridhika kuwa Zombe, ambaye wakati wa mauaji hayo alikuwa akikaimu nafasi ya kamanda wa kanda ya Dar es salaam, pamoja na wenzake wana kesi ya kujibu kuhusu mauaji ya watu hao kulingana na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo. [179]
wananuka
Na hata wachuuzi wenyewe walikuwa wananuka. [180]
wangu
Zombe: Ushahidi wangu mwingine ni kuwa barua hizi haziwezi kuandikwa na washtakiwa maneno yanayofanana maelezo na mtiririko. [181]
wao
Zombe aliunga mkono maelezo ya shahidi wa 36 upande wa mashtaka ambaye alisema hata kama hawakuhusika walipaswa kutoa taarifa kwa wakubwa wao baada ya tukio hilo. [182]
wapo
Mbali na vigogo hao wawili, Pinda aliwataja wengine ambao wapo kwenye uchunguzi kuwa ni Wakili wa Serikali, Donlad Chidowu na wajumbe wa kamati za wataalamu na majadiliano, ambazo inawahusisha maofisa waandamizi wapatao 12 kutoka wizara na taasisi za umma. [183]
watatu
MSHTAKIWA wa kwanza katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini kutoka mjini Mahenge, Morogoro na dereva teksi wa Manzese jijini Dar es Salaam, Abdallah Zombe jana alijitetea kwa zaidi ya saa tatu huku akimwaga machozi wakati akiwasilisha utetezi wake. [184]
wengi
Kauli hiyo wa mkuu wa wilaya, iliibua kelele kutoka kwa wananchi, huku wengi wao wakimshutumu Tsere kuwa alikuwa anamtetea diwani. [185]
wenu
Anakuwa mwema zaidi anapokuwa na shida, katika kipindi chako cha mafanikio urafiki wenu utanoga, ukifilisika atakugeuka. [186]
wenye
Umoja wa klabu hizo Ulaya (ECA) wenye wanachama 137 uliokutana Jumanne kuzungumzia suala la upunguzaji wa gharama zikiwamo za kuzitaka klabu kutotukutia zaidi ya asilimia 50 ya mapato yake kwa mishahara ya wachezaji. [187]
wenyewe
OCD alithibitisha Bidco wenyewe waliziona. [188]
wetu
Tutakutana wanachama wote wa CBCT na kujadili jinsi ya kumuenzi rais wetu katika kuendeleza kuchangia elimu nchini kwa kuwa, ushirikiano tulionao na Watanzania ni muhimu kuuendeleza kwa faida ya nchi zetu mbili,"alisema Jinfeng. [189]
wiki
Jumanne wiki hii Tsvangirai alimteua Katibu Mkuu wa chama chake, Tendai Biti kushika wadhifa wa Waziri wa Fedha, baada ya Jaji wa Mahakama Kuu ya nchi hiyo kufuta mashtaka ya uhaini dhidi yake wiki iliyopita. [190]
yako
Sio vibaya ukasoma hapa na ukampa rafiki yako. [191]
yetu
Maoni yetu ni kuwa hiyo ni serikali ya mpito na kazi yake ni kushughulikia masuala muhimu yanayohitaji kushughulikiwa wakati huo wa mpito. [192]
yeye
Akizungumza na waandishi wa habari, Khalifa alisema yeye ni mmoja wa wajumbe katika kamati hiyo na kwamba hawakujadili kuhusu kumshauri spika, asimamishe hoja ya Dk. [193]
yote
Alidai taarifa za matukio yote huandaliwa tangu ngazi ya chini na kutumwa kwa viongozi wa juu hatua kwa hatua hadi kwa IGP kupitia katika mitambo maalumu na kwamba hata Ikulu kuna mtambo huo ambao ni mkubwa unaopokea matukio hayo yote. [194]
za
Juzi Zombe alitokwa machozi mara kadhaa wakati akijitetea mbele ya Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Salum Masatti kuhusiana na tuhuma za mauji zinazomkabili pamoja na askari wenzake tisa. [195]
zake
Alidai kuwa barua za maelezo ya washtakiwa hao zote ambazo nakala zake alizitoa juzi mahakamani hapo kama vielelezo kwa ajili ya ushahidi wake yaliandikwa Juni 3, 2006 mchana ingawa baadhi hazina tarehe. [196]
zangu
Naomba nichukue furasa hii kuwasabahi marafiki zangu popote mlipo. [197]
zenye
Unapozuia bidhaa za nje zisiingie ni lazima uhakikishe kwamba elimu ya sayansi, teknolojia na ufundi vitakuwa vya hali ya juu ili wananchi wapate utaalamu wa kutengeneza bidhaa zenye hadhi na zinazohitajiwa na wananchi. [198]
ziara
RAIS wa Jamhuri ya watu wa China, Hu Jintao, anatarajiwa kuwahutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), kama moja ya mambo atakayofanya atakapokuwa nchini kwa ziara ya siku mbili kuanza Februari 14 mwaka huu. [199]
zima
Kutokana na mjadala kuwa mkali, mkutano huo uliopangwa kufanyika kwa siku tatu uliongezwa muda ili kujadili jinsi ya kuunda upya bodi ya bara zima la Afrika. [200]