Mtumiaji:Niederas

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Habari zenu!

Nianitwa Andreas, ninatokea ujerumani lakini ninaishi huko Tanzania kwa miaka miwili sasa.

Nimeanza kuingiza Maneno yote nilivyoandika kwa vitabu vyangu toka nilipoanza kusoma kiswahili ili nipate mazoezi wa kiswahili.

Waswahili, naomba angalieni makala zangu, nikikosea hasa katika maana ya maneno, Ahsanteni!

makala nilizoanza