Mtumiaji:Baba Tabita

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.

Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili na ndipo naomba uwasilianapo nami.