Nenda kwa yaliyomo

London

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
ina makala kuhusu:

Nomino

[hariri]

London

  1. Mji mkuu wa nchi ya Uingereza.
  2. Jiji kubwa zaidi katika kanda ya Ulaya Magharibi.

Etimolojia

[hariri]

Asili ya jina London inasemekana kutokana na neno la kale la Kilatini "Londinium", jina ambalo Warumi walilitumia walipoanzisha makazi katika eneo hilo takriban miaka 2,000 iliyopita.

Tafsiri

[hariri]