pufya

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

pufya (wingi mapufya)

  1. dawa za kumpa mtu nguvu nyingi na kuufanya mwili wake uwe mkubwa

Tafsiri[hariri]