mwajiriwa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

mwajiriwa (wingi waajiriwa)

  1. anayefanya kazi ya kulipwa baada ya muda fulani

Tafsiri[hariri]