mkulima

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Wakulima

Nomino[hariri]

mkulima (wingi wakulima)

  1. mtu anayefanya kazi ya kukuza mimea


Tafsiri[hariri]