kisukuku

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Fossil-svalbard-norway.gif

Nomino[hariri]

kisukuku (Wingi : visukuku)

Pronunciation[hariri]

  1. Mabaki yenye madini ya mnyama au mmea. kutoka zamani za miaka 10,000 au zaidi. Visukuku vingi vina umri wa miaka milioni kadhaa.

Tafsiri[hariri]

#EarthMonth #WikiForHumanRights #RightToahealthyEnvironment #WikiForHumanRightsAfrica #Earthday