dhahabu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiswahili [hariri]

dhahabu.

Nomino [hariri]

dhahabu

  1. madini ya chuma yenye rangi ya jua na cha dhamana kubwa na hutumiwa kutengeneza mkufu au pete.

Tafsiri [hariri]