Upinde wa mvua

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Upinde wa mvua

Nomino[hariri]

Upinde wa mvua (upinde wa mvua)

  1. Upinde wa mvua; upinde wenye umbo la uta na wenye rangi saba unaoonekana katika angahewa karibu na mawingu wakati ambapo miali ya jua inapita katikati ya mvua na kuchipuka.

Tafsiri[hariri]

Jamii maneno ya kiswahili