Matokeo ya utafutaji

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • siku kabla ya jana...
    148 bytes (maneno 4) - 06:51, 11 Septemba 2012
  • mapema (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    mapema kabla ya wakati Kiingereza: early (en) Luhya: mapema (luy)...
    220 bytes (maneno 10) - 10:05, 1 Julai 2016
  • heshima ya mwisho heshima anayopewa maiti kabla ya kuzikwa Kiingereza: last respect (en)...
    143 bytes (maneno 13) - 10:50, 5 Juni 2009
  • aviya (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    aviya toa kabla ya wakati Kiingereza: abort (en)...
    124 bytes (maneno 8) - 06:21, 9 Mei 2018
  • kwaresima (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    kwaresima siku arobaini wanazofunga wakristu kabla ya pasaka Kiingereza: lent (en)...
    153 bytes (maneno 11) - 07:04, 18 Mei 2009
  • ukunga (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    ukunga elimu anayopata mtu kabla ya kuwa mkunga Kiingereza: midwifery (en)...
    144 bytes (maneno 11) - 07:28, 11 Mei 2009
  • maandalizi (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    maandalizi (wingi maandalizi) matayarisho kabla ya jambo Kiingereza: preparation (en)...
    146 bytes (maneno 10) - 09:09, 16 Aprili 2009
  • mkato (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    mkato kukatiza kitu kabla ya kukamilika Kiingereza: short cut (en)...
    186 bytes (maneno 10) - 14:48, 31 Machi 2017
  • hesabu (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    hesabu malipo kutokana na mema na mabaya aliyofanya mtu duniani kabla ya kufa Kiingereza: judgment (en)...
    283 bytes (maneno 16) - 04:53, 26 Julai 2015
  • kwaheri (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    kwaheri tamko ambalo mtu humwambia mwenzake kabla ya kwenda Kiingereza: goodbye (en) Luhya: obeo (luy)...
    221 bytes (maneno 15) - 08:40, 1 Julai 2016
  • jino (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    jino (wingi meno) sehemu ya mwili inayopatikana mdomoni ambayo hutumika kusaga chakula kabla ya kumeza Kiingereza: tooth (en)...
    449 bytes (maneno 18) - 05:14, 10 Februari 2017
  • depo (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    depo (wingi madepo) mahali panapowekwa bidhaa kabla ya kusambaza nchini Kiingereza: depot (en)...
    343 bytes (maneno 13) - 07:09, 7 Desemba 2016
  • deni (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    deni hali ya kuwa na kitu cha mwingine kabla ya malipo Kiingereza: credit (en) Luhya likovi (luy)...
    349 bytes (maneno 17) - 20:02, 17 Januari 2017
  • soksi (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    soksi vazi linalovaliwa mguuni kabla ya viatu kuvaliwa Kiingereza: socks (en) Luhya: esokisi (luy)...
    268 bytes (maneno 14) - 06:34, 14 Machi 2017
  • nasari (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    nasari pahali miche inapooteshwa kabla ya kupandwa pahali pengine Kiingereza: nursery (en)...
    152 bytes (maneno 12) - 14:49, 21 Aprili 2009
  • sw|nomino hali ya kutia vitu au kitu kwa mpangilio maalum sana sana kabla ya kukiweka vyema...
    124 bytes (maneno 17) - 16:14, 2 Mei 2008
  • sekondari (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    sekondari chuo wanakoenda wanafunzi waliofuzu baada ya chuo cha msingi na kabla ya chuo kikuu Kiingereza: secondary school (en)...
    233 bytes (maneno 19) - 16:17, 1 Julai 2016
  • Amagedoni (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    Amagedoni (kidini) vita vya mwisho bainaya wema na uovu kabla ya siku ya mwisho kulingana na Bibilia...
    134 bytes (maneno 17) - 19:36, 11 Oktoba 2020
  • advansi (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    advansi malipo yanayotolewa kabla ya wakati wake kuwadia au kazi kumalizika rubuni arbuni kishanzu chambele...
    173 bytes (maneno 15) - 11:18, 10 Septemba 2020
  • Alhaji (Kusanyiko Maneno ya Kiswahili)
    Alhaji pia Haji (kidini) cheo cha heshima apewacho Mwisilamu aliyekwenda Makka kufanya ibada ya kuhiji, na hutajwa kabla ya jina la mtu huyo...
    177 bytes (maneno 23) - 10:20, 23 Septemba 2020
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)